Safi,napenda mayaiImechukua muda mrefu lakini hatimaye mamlaka ya udhibiti wa vyakula na madawa ya Marekani (FDA) imetoa mwongozo rasmi kuhusu mayai na kuthibitisha kuwa mayai yana faida nyingi za kiafya na hayasababishi ongezeko la lehemu mbaya (bad cholesterol) kama ilivyodhaniwa huko nyuma. Mwongozo huu umetolewa baada ya utafiti wa muda mrefu.
Mkuu acha udomozege. Mfungukie huyo umpendaye usije ukachelewa ukakuta wajanja weshakuwahi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natumain na dawa ya kichwa kisilale ataukua ameshaipata hahahNgoja aamke aje atupe jibu mana jana alisema ataenda jumamosi[emoji2][emoji2][emoji2]
Uwongo[emoji23][emoji23][emoji23]Uwongooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Shemeji umeona hatari hiyo. Afadhali tu misambwanda kwa kweli...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doooh
Naimani ni yale ya kienyejiSafi,napenda mayai
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu mzee ni shida...Natumain na dawa ya kichwa kisilale ataukua ameshaipata hahah
Naimani ni yale ya kienyeji
Wabongo wanamaneno daah