Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*
*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Whaaaaaat ????
Kama umeelewa toa tafsiri bageshi!Duh aiseee
OK. Nimekuelewa mkuu. Siku hizi hata hivyo nondo ni pesa tu. Haya maua na maneno matupu aisee ni kazi bure. Tutafute hela tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawamwagia nondo ili mkawamwagie akina Havijawa huko mtaani bana![emoji3]
Kamata likes mulangira acha maneno mengi !!!Dislike
OK. Nimekuelewa mkuu. Siku hizi hata hivyo nondo ni pesa tu. Haya maua na maneno matupu aisee ni kazi bure. Tutafute hela tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]