Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni kukomaa. Bila kukomaa mambo hayaendi aisee. Uzi huu karibia unavunja rekodi zote hapa JF. Na hii yote hata miezi miwili haijaisha...
Nimeamini kwenye hili kundi watu wote ni wapiganaji kweli
Unajua sprit ya mtu katika kutafuta ni sawa na kwenye likes unakomaa na unafanikiwa lakini utakuta mtu hata kubofya kitufe cha like anaona uvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…