bila shaka utakuwa unakaa mtaani kwetu, ngoja nimalizie huu ugomvi halafu unambie vizuri unakaa nyumba gani hapa kitaaniKwa jiran kuna ka ugomvi aisee
Sana tu shemeji, yaan we acha kbs hii ni kasi ya 4g.[emoji1][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] maisha yanaenda kasi Sana
Mkuu habariNzuri sana. Karibu kwenye kiwanda cha kuzalisha likes tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama kawa anza kutubandikia posts zako uone cha moto