Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ziko nyingi lakini western Siku zote wanavutia kwako
Zamalek vs National al ahyl
Bayern vs Borussia
Simba vs Yanga
Orando piretes vs Kaizer chiefs
Hivi kati ya hizo ipi inafatiliwa duniani zaidi ya el classico?
Halafu mara zote inakua na wachezaji vipenzi vya watu ukianzia kina de Lima,Beckham,zinane,ronaldiho na sasa messi na cr7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…