NafuatiliaLeo nmekuja na somo hili linalohusu Furaha ya kweli hivyo nikukaribishe mpenzi msomaji kuwa nami katika somo hili na kabla ya yote nikupatie mwongozo mzima wa somo hili:
Baada ya somo hili utajifunza vitu vifuatavyo:-
SawasawaKuna tofauti kubwa kati ya RAHA na FURAHA, raha ni Tukizo la mwili kutoka kwenye taabu na ifahamike kua raha hudumu kwa muda mchache angali Furaha hudumu Daima. Raha hutokana na Furaha.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujumbe wa Nanenane 2017
**********************
Wanawake wangeweza kufuga Kuku kama wanavyofuga Kucha ,tungekuwa mbali sana"
Ni faida sanaUnajua hakuna jambo zuri kama kumjua Mungu hapa duniani, Unaweza kuwa na Mali nyingi mno hapa dunia lakini bila Kumjua Mungu ni bure kabisa, utakosa mambo mengi ya muhimu mno kuliko mali ulizo nazo na Furaha ya kweli utaisikia kwa wegine huko barabarani.
Tia nia ya kumwaga likes za kutosha, siku yako itakuwa fupi tuDu Siku ndefu kwangu
AsanteJifunze kusamehe, shukuru kwa kila jambo.
Kwa kufanya mambo hayo yote basi utakua umejitengenezea FURAHA YA KWELI maishani mwako.
Kichwa kichafu anaoga
Nipo
Umeona eeh!Such humility from the first lady