Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Picha,ilifika mazingira sio rafiki.Hata hivyo nimejifunza,sitaingia humu kama nitakuwa mazingira ambayo si ya kujiachia(sijui kama nitaweza)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha gani? Ile katuni mwanamke akilalamika kuwa mwanaume mashine? Pole sana!

Vipi ingekuwa ile iliyowahi kutugandia juu ya uzi huu tukapigana kufa na kupona mpaka ikaondolewa? Kuwa mwangalifu hasa ukiwa ukweni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…