Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F488
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ile picha ilipingwa sana kwa sababu ya binti zetu tunao taniana nao hapa,ila jicho lilikuwa halibanduki ku....... (Ichukia)Picha gani? Ile katuni mwanamke akilalamika kuwa mwanaume mashine? Pole sana!
Vipi ingekuwa ile iliyowahi kutugandia juu ya uzi huu tukapigana kufa na kupona mpaka ikaondolewa? Kuwa mwangalifu hasa ukiwa ukweni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nae walimponda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
UmenenaKudaiwa vitu vidogo kama likes ni Aibu lipa deni lako la likes
Hongera sana na wageni wako pia.Usisahau kuwanywesha mbege ili wakirudi kwao wakajikute wanajenga urafiki na waparestina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamepanda mlima wa Kilimanjaro to the top walahi!