carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Haeleweki, akimtoa out wife wake shingo yake haitulii hasa aonapo misambwanda inakatiza.Ila hachelewi pigwa kibuti
AmenWote wenye majukumu mkawe na siku njema yenye mafanikio
[emoji28][emoji28]si wanasema macho hayana pazia naoba yeye anatumia vizur huo msemoHaeleweki, akimtoa out wife wake shingo yake haitulii hasa aonapo misambwanda inakatiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima, nanyoosha maneno yakoMbona unaanza igomvi mapema hivi?mzima lakin
Hapo sasa mshangao mkubwaHalafu leo wanamuona mwema,mwanadamu haeleweki
Nimekuja mapema ili kuona kama kweli ungetimiza ahadi yako ya usiku uliopita, kwamba utakuwepo hapa tena mapema saa 11. Nimeamini ahadi yako umetimiza. Sasa nipo nje ya chumba cha daktari nasubiri ruksa yako nije pata "ushauri wako daktari"
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosa raha za maisha kwenye soka. Burudani ya soka haijawahi kutuacha salamaSi mpenzi tu wa mpira na sijataka kuufatilia
Kwa ule mchezo wa jana timu za England zina safari ndefu kuwa kwenye meza moja na za SpainMan u poleni eeh kwa mechi ya jana
Kichwa Kichafu ukuje nikupe pole baadae[emoji28][emoji28]