Tukimaliza nini jirani yangu?Mkimaliza mniambie nije kiweka milango na madirisha[emoji28][emoji28]
safi ,na wewe pia upate baraka sanaWote wenye majukumu mkawe na siku njema yenye mafanikio
Nyerere pia aliandika vitabu kadhaaKuna viongozi maarufu wa Kiafrika kama Nyerere, Nkrumah, na Mandela ambao katika maisha yao, licha ya kuwa na dhima na dhamana kubwa kwa mataifa yao waliweza kutafuta muda wa kusoma vitabu.
Tukutane kwenye tamasha la vitabu.Huenda huwezi kabisa kusoma kitabu na kama unasoma labda kwa nadra sana. Matokeo yake, hapana shaka unakosa hazina kubwa ya maarifa.