Sio man u tena
Salama za kwakoZa asubuhi
Usiwaze dadangu, uzima upo na umauti upo. Ni ngumu kukubaliana na hali hiyo, lakini ukweli upo hivyoNaimani si kweli maana daah[emoji22][emoji22]
Juzi jana na leo
Mzee nimekuja kulikuwa na nini tenaNamsubiria mzee wa liver akuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli mana kila nafsi itaonja umautiUsiwaze dadangu, uzima upo na umauti upo. Ni ngumu kukubaliana na hali hiyo, lakini ukweli upo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaPombe kweli mbaya,kuna mlevi Jana aliulizwa "Mwezi umepatwa umeuwona?"
Akajibu;
"Sijauwona mimi nafata Saudia"
teh! teh!
Ukishabikia mpira inabidi uwe na moyo wa ujasiri kweli,kaamua kukana timu ama ndo adui muombee njaa[emoji28][emoji28]Sio man u tena
HahahahahaMan u team ya wahenga...teh! teh!
Anapiga miguu yote
Rashidi Makame huyuMmh Rashford
Mkuu samahani, nilialikwa kwenda kuangalia mpira huko samaki samaki. Jana mashetani walikuwa uwanjani. Uwe na amani kiongoziMkuu nakuona kwa mbali
Word