Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hana jipya ni muda wake kuondoka kabisa kwenye siasa
Groom watu wengine wabebe vision yako bado utakuwa umesaidia nchi yako
Wapinzani wa Afrika hawana hayo. Wanapigania demokrasia wakati wenyewe huko vyamani wameng'ang'ania madaraka miaka nenda miaka rudi. Wengine mpaka vyama vinawafia. Mtu anagombea mpaka mara tatu/nne anashindwa ina maana hakuna wengine huko?
 
Vipaji vipya vipo tatizo support na wasomaji wenyewe hamna kila mtu anataka ubuyu mtandaoni sio kwenye majarida
Si kweli kuwa wasomaji wote wanapenda ubuyu. nadhani waandishi wa vitabu nao wamekaa kipesa pesa. Yafaa wajivue tamaa yao iliyopitiliza ili watoe vitabu kama walivyofanya wenzao akina Edy Ganzel, Agoro Anduru, John Rutayisingwa nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…