Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Toka utotoni nilikuwa naenda na kioo shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tabia ya kuchungulia umeanza lini
Yes. Likes for likesLikeeeeeee
unajua SYB, Mzee Jaramogi na Kenyata walianza pamoja na wakawekwa ndani na wakoloni kila mtu akiwa na harakati zake.Nilifikiri kuwa Wakenya wana kaunafuu kidogo; na kwamba tume yao ya uchaguzi angalau ina kauhuru japo kidogo. Kweli ni kuomba amani tu. Demokrasia !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kila mtu na mitazamo yake kwa kweli
Ukilala waota jf uzi maalum wa kupeana likes,KK quoted your post,SYB and others liked your post[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu nikalale mieKwenye usingizi ulikuwa unajing'atang'ata kisa nakutaja. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaondoka tuSi ulikuwa unaniita ita hapa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na siondoki hadi unambie ulichokuwa waniitia