[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo atakuwa ndiye mhenga aliye sema "tenda wema nenda zako"Halafu wakishinda hata wakiteuliwa uwaziri jamaa wanasahau na kubadilika mapema sana. Rafiki yangu mmoja ambaye form 6 nilimpigania kweli kumuweka sawa kimasomo kwa sasa naibu waziri niligongana naye kwenye ATM moja juzi juzi hapa akakausha. Nilishangaa sana. Pengine alidhani nitamuomba pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua uliwai kuwa mlizi shirikishiPolice just cleared a roadblock mounted by protesters in Mathare
Sema bro. Welcome to Cole's world !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie mgeni anatakiwa kukubali kila kituSijui atakubali kukaa ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu dotaFainiiiiii
Kweli leo umejipanga lol!sasa siend kokote[emoji28][emoji28]Ondoka tu nani alikuita[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbagala is my..........Kama mimi. Mpira ni big no. Huwa sielewi eti Aseno au Livapul imefungwa huko Uingereza mtu yuko Mbagala huku anashindwa kula mihogo yake kwa sababu ya maumivu ya kufungwa. Sitakaa nielewe hii lojiki aisee...
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]tukupeleke kwa gwajise akuombeeeToka utotoni nilikuwa naenda na kioo shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]