Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipi kama hajavaa ch...na amekushtukia halafu ni chakula ya mwalim? Kibaya zaidi mwalimu ni zamu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kifuatacho ni....
Dah! Kuna siku niliambulia viboko 33 in one day. Yaani tangu nafika shuleni saa moja asubuhi mpaka jioni ni zali tu mtindo mmoja. Mpaka leo nikiwa na siku mbovu kabisa huwa nakumbuka siku ile....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…