Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ta Ta Ta Tayari [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mama alikusimulia au wewe mwenyewe?
Mahakama pia ni hivyo hivyo. Wapinzani wakishindwa kesi mahakama zimetiwa katika mifuko ya wanasiasa. Wapinzani wakishinda kesi basi mahakama zimetenda haki. Kuna kutokuaminiana kukubwa kati ya pande hizi mbili kiasi kwamba kweli ni uwongo (and vice versa).Kwahiyo uchaguzi usio na faulo ni kwa upinzani tu kushinda? Yaani uchaguzi halali ni ule ambao wapinzani hushinda? Upinzani ukishindwa tu inakua uchaguzi haukua halali au una faulo?
MkuuHeloooooo......