Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha
Shimba ni shida sana
Mimi nakiri namu admire sana Trump hakuwa mwanasiasa kabla
Hakuwahi kuajiliwa serikarini
Hakwenda jeshini
Lakini Siku alipoamua kugombea urais na alikwenda akashinda hata Chama chake walikuwa hawamwani kabisa
Ni ngumu kwa Afrika kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…