Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dastan Mella, Kilimanjaro

Tatizo la watu kuchungulia madirishani kwanza ni mmomonyoko wa maadili katika jamii kwa sasa, pili ni ukosefu wa jambo la kujishughulisha kwa tabaka kubwa la wanajamii tatu ni tabia iliyojengeka miongoni mwa wanajamii, nne mazingira ya uswahilini hakuna mpangilio mzuri wa majengo.
 
Jovitus John, Dar es Salaam

Tatizo nyumba za uswahilini zimebanana mno mtu akipita akisikia kelele tu, anataka kujua nini kinaendelea ndani, mimacho yake anaelekeza dirishani ila wengine ni tabia yao bila kuchungulia hapati usingizi.
 
Pb Wallace, Dar es Salaam

Wengi wao huwa ni umbea na ushamba kwa kuwa wanaamini kuwa wakifanya hivyo watafaidika.

Kitikiro Zacharia, King’s Budo College Uganda

Si sahihi kabisa na wala siyo vizuri kuchungulia kwenye madirisha ya watu kuona nini kinaendelea binafsi naamini ni ukosefu wa busara, pia mmomonyoko wa maadili katika jamii.
 
Amina.Malezi yale kwa akina sisi tulio lelewa na mama pekee yalifaa sana.Nakumbuka class VI mtihani wa kumaliza nilishika nafasi ya kwanza,lakini mahudhurio kwa term sikufikisha hata siku 50 nilizoingia darasani,muda wa zawadi niliitwa mbele,badala ya kupewa madaftari, rula,mkebe na biki nilirambwa fimbo 10 nakushushwa nafasi hadi wa tano nikakosa zawadi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu mkubwa nimejenga nae jirani sasa,najisikia fahari kufundishwa nae (mama Mwalituke) namuombea maisha marefu
 
lakini kama mwenye nyumba akaweka pazia na kuondoa kabisa ushawishi wa baadhi ya watu kupenda kuchungulia bila shaka tabia hii itapigwa marufuku. Ingawa kitendo hiki ni cha aibu wakati mwingine mtuhumiwa wa upigaji chabo amekuwa akishawishiwa na muathirika kutokana na ushawishi anaokutana nao kutoka kwa mwathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…