Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jua kuwa ni jambo gumu kuacha tabia uliyoizoea kwa muda mrefu mara moja. Haitowezekana utupe kipande chako cha sigara yako mara moja na kutangaza kuwa umeacha kuvuta. Suala hilo ni gumu kwani asilimia 95 ya watu wanaojaribu kuacha sigara kwa mtindo huo hushindwa, inabidi upate ushauri na tiba mbadala ili kukusaidia kuacha kuvuta sigara, hii ni kwa sababu sigara inaleta uraibu wa nicotine, na ubongo unaizoea mada hiyo hivyo kuacha kuvuta husababisha uhisi dalili za kukosekana nicotine katika ubongo.
 
Jaribu kutumia vitu vingine badala ya nicotine. Hii ni kwa sababu unapoacha sigara na kukatisha nicotine mwilini hukufanya usijisikie kama umechanganyikiwa, uhisi msongamano wa mawazo na kutotulia. Suala hilo linaweza kusaidiwa kwa kupata tiba mbadala ya kusaidi kuondo hisia hizo.
 
Wataalamu wanashauri kutumia ubani wa nicotine (nicotine gum), pipi za nicotine na baadhi ya plasta za kubandika mwilini zenye kusaidia kuacha sigara bila kuhisi madhara ya kukosa nicotine. Kutumia vitu hivyo wakati ukiwa bado unafuta sigara hakushauriwi.
 
Ikiwa hutaki kutumia vitu vingine vyenye nicotine wakati umeacha sigara, mwombe daktari wako akuandikie vidogo ambavyo vinavyoondoa athari za mwili kuzoea nicotine wakati unapoacha sigara.
 Usijiamulie peke yako na kwa siri, bali itangazie familia yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…