Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Word. Kulaumu wengine ni rahisi zaidi....Unapoteleza juu ya ganda la ndizi na kudondoka, akilini mwako kitakachokuja kwa haraka ni kujiuliza nani amekula ndizi na kutupa ganda kiholela. Ukweli ni kwamba kama ungekuwa makini unapotembea kwa kutazama chini, ungeliona na kulikwepa.
Unaposhindwa jambo usitafute sababu ya kujitoa badala yake tafuta njia mbadala ya kuhakikisha kazi hiyo inafanikiwa.
Bado ni Rais hata kama angekuwa amepoteza kwenye uchaguzi huu mpka Raia mpya anaapishwaKama rais mteule au kama raia?
Karibu mkuu. Ulipotea jumla japo nilikuwa nakuona kwenye majukwaa mengine. Karibu tena !!!