cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Uwe na siku njema pia Carba.Muwe na siku njema wapenzi...
Tutaonana baada ya masaa kadhaa
Mbarikiwe wote
See you later.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na siku njema pia Carba.Muwe na siku njema wapenzi...
Tutaonana baada ya masaa kadhaa
Mbarikiwe wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 563800[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
HahahahahaNimerudi kuikwaa
Hahaha.............ngoja nihifadhi maneno...[emoji16][emoji16]Ukafanye nini huko nyuma au unataka kufuta post
Sasa hivi ndio wasahu kabisa huu ndio uzi namba moja unao ipa jf mkwanja kwa network traffic tinayotengeneza humu ndaniLeo Uzi wa malikes umefungana na ule wa Makapuku kila moja ikigonga 260k hii asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHope mpo poa kwa taarifa nilizonazo leo nikuwa Ho Chi Minh ni katoto ka shule ndio maana haonekani subirini likizo ya mwezi watisa mtamuona
Morning NsamakaGood morning mabibi na mabwana.
[emoji106][emoji106]Nice my dear
Ya nazi.....Asante na maandaz au?
Pole Nsamaka. Nakuja Shy jumatano.Nilitamani kushinda na nyie humu leo ila huku kwetu leo hatutakuwa na umeme siku nzima. Tanesco wanafanya matengenezo.
Goodmorning...Good morning mabibi na mabwana.
Ooooh pole sana, tutakumiss...Nilitamani kushinda na nyie humu leo ila huku kwetu leo hatutakuwa na umeme siku nzima. Tanesco wanafanya matengenezo.
Nadhani nina miss kitu hapaAkualike mara ngapi na wakati ww ndio uko nae huko.
Hi jakotoKichwa kichafu
Ndio ukweliHahaha
Nice one
[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji50]Pole Nsamaka. Nakuja Shy jumatano.