Ok, all the best dear....Muwe na siku njema wapenzi...
Tutaonana baada ya masaa kadhaa
Mbarikiwe wote
We unanifaa Sana.Amina[emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA9:09
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Hahahahah mtag andjul..Hope mpo poa kwa taarifa nilizonazo leo nikuwa Ho Chi Minh ni katoto ka shule ndio maana haonekani subirini likizo ya mwezi watisa mtamuona
We Mzee Salama kaolewa kwan Taarifa hunaSalama kabisa
We will miss youMuwe na siku njema wapenzi...
Tutaonana baada ya masaa kadhaa
Mbarikiwe wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha wa yuu mzee wa ini
Mzima liver!??Good morning babe s
Tunadunda tu.....Mimi niko poa kabisa sijui wewe na uniq
Kichwa kichafu bado yuko kwenye series ya ndotoKwamba humu ndani wengine bado hamjaa amka ama?
Mzima..Gmorning too.mzima?
AminaNa wagonjwa nao tuwakumbuke kwenye maombi yetu
Jibu zuri sanaWacha waondoke,no prob,hatuna chuki,tunatoa likes,ndio formula yetu,No majungu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaha ngoja ninyamazeeeHahahah katoe tu katakua na ubuyu ndani yake
Akualike mara ngapi na wakati ww ndio uko nae huko.Nialike na mimi basi[emoji6][emoji6]
Kichwa kichafu