Kweli kabisa mkuu.Mimi hii kitu napenda kwa kuangalia hata iwe kwenye picha ya kuchora.Itabidi niende kwa Dk.Numbisa ili nijue nimepungukiwa na nini ...Unaniruka mpenda misambwanda mwenzangu? Kulikoni?
Usiogope. Kila mtu ana akipendacho japo kwa siri siri (dark fantasies/secrets). Watu wakiamua kufunguka hapa utashangaa. Si ajabu sisi wapenda misambwanda (japo kwa kuiangalia tu) tutaishia kuonekana watakatifu kabisa. Mioyo ya binadamu imeficha mengi!!!
Mental Slave hiyo broHalafu ukikutwa negative unasahau siku mbili tatu unarudia tena kufanya yale yale yaliyokufanya ububujikwe na majasho wakati wa kusubiri majibu !!!!
Nimesema Andy Cole.... Kwendaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ungeweka vizuri watu wanaweza jua cole Williams mimi PM yangu ikajaa wakiomba autography hahaha
Na pomboo ndiyo wanaaminiwa kuwa na akili kuliko wanyama wengine wote (Homo Sapiens excluded of course)Haka kapicha kazuri[emoji4][emoji4]
Mie mzima usik mwemaWazima ukhuty sijui wewe
Ushindweeee na ushindweeee ulale kama nani yule???Akiji rip rambirambi napokea mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiondoa ubinadamu na vitu vidogo vidogo vya hapa na pale
She is perfectly Fit in my world
Tukunyema hii inaweza hata kumlaza Andjul hii. Haiwezi kosa msambwanda hii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Tukunyema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]leo aliweka kapicha ka kamodo
Hii kali yani nimevuta picha mpaka nimejisikia hovyo.....Mende hapana. Wana sumu wale. Redio moja kule Florida walifanya mashindano ya kula mende wabichi laivu mshindi wa kwanza akafakamia mende kibao lakini hali yake ilibadilika pale pale wakamkimbiza hospitali bahati mbaya akaRIP na zawadi ($850) akaikosa. Tutakula vilivyozoeleka tu kama konokono, panya, nyoka, mbwa, jongoo na makorokocho mengine.