Na kwako pia
AMUN RA10:10
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Muhenga nilieshindikana😀Post # 249
AMUN RAAMUN RA
Huwezi pata chakula bila maji.3: Maji huzuia na kutibu maumivu ya mgongo
Maumivu ya kiuno na uti wa mgongo nayo ni dalili ya upungufu wa maji katika sehemu hizo, hasa katika maungio ambayo yanabeba uzito wa mwili. Maumivu ya aina hii hutibiwa kwa kuongeza kiwango cha kunywa maji na siyo madawa.