mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Post chochote upate likes
Morning bob
Morning coleAlfajiri
Morning NumbisaUGONJWA wa yabisi-kavu umeathiri wanadamu kwa karne nyingi. Maiti za kale zilizohifadhiwa huko Misri zinathibitisha jambo hilo. Yaelekea, mvumbuzi Christopher Columbus alikuwa na ugonjwa huo. Na mamilioni wanateseka leo. Ugonjwa huo wenye kulemaza ni ugonjwa wa aina gani?
Hongereni sana huko huku Jua tuMvua
Inanyesha
Na kwako mkuuAsubuhi njema
Karibu najaribu kuwarudisha kundini mmepotea sanaNawasalimu humu ndani