Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

30e80272cd4bfc292fdbd6a85a75ad45.jpg
 
Ndiyo maana hata Mwl alishindwa. Kuna watu aliamini kuwa walikuwa wafuasi wa nadharia zake na walikuwa waadilifu kama yeye, wengine akazunguka mpaka nchi nzima kuwapigia kampeni za urais, kumbe walikuwa ni majibwa katika ngozi ya kondoo. Ni tatizo la mfumo na falsafa ya jamii. Ni vigumu sana kuwa na kiongozi mwadilifu kwenye jamii inayoabudu mafisadi na majizi makubwa makubwa. Ukipewa cheo ukawa mwadilifu sana ukija kuondoka hujatajirika jamii inakucheka. Ukiiba na kujenga majumba 70 kama akina Masamaki basi we ndo mjanja na mwanaume wa shoka. Kama akina Joka Makengeza ndiyo vioo vya jamii unategemea nini?
cab24f09558ff083e45c4a9de89c71ce.jpg

348d50ae2bd07ac7892ecfe9f5502f00.jpg
 
Mtu anapoongea huku akimtazama machoni anayeongea naye huonyesha kuwa yeye ni mkweli na mwaminifu. Pia huashiria kuwa anaamini anachosema na ana uhakika nacho.

Yafanye macho yako yakufanyie kazi. Unapoongea yalenge moja kwa moja kwa unayeongea naye ili ujiamini na kuwafanya watu wengine pia wakuheshimu na kuweka kadhi na haiba yako juu.
Muongo mjasiri anakutazama machoni ili akudanganye vizuri.
 
Jina la Kiingereza la ugonjwa huo, “arthritis,” linatokana na maneno ya Kigiriki yanayomaanisha “viungo vilivyovimba,” nalo larejezea magonjwa na hali mbalimbali za yabisi zaidi ya 100.* Mbali na kuathiri viungo, magonjwa hayo yanaweza kuathiri pia misuli, mifupa, na kano (mishipa inayounganisha misuli na mifupa) mbalimbali zinazotegemeza viungo. Aina fulani za yabisi-kavu zinaweza kuathiri ngozi yako, maungo ya ndani ya mwili, na hata macho yako. Tutachunguza hasa magonjwa mawili ya aina ya yabisi-kavu, yaliyo ya kawaida sana—ugonjwa wa osteoarthritis na baridi-yabisi.
 
Back
Top Bottom