Athari nyingine mbali nakuoza sili na tishu, mara baada ya mtu kuumwa na kifutu msitu hupelekea kizunguzungu,kutembea bila uelekeo,kutokwa na haja kubwa,kutokwa na haja ndogo, ulimi na macho kuwa vizito, kutoka damu mfululizo na wakati mwingine maeneo ya ndani.