Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakati mwingine unakuta meseji ina ujumbe mzuri kweli halafu hapo chini ndo imeharibiwa na huo mkwara feki. Eti usipofowadi kwa watu kumi we ni mtumishi wa shetani...
Mzee wa kolomije toka vichochoro vya mbagala. Mi nipo temeke huku uswahiliniMoudgulf upo kamanda?
Nipo kamanda. Tunalisongesha !!!
Shemeji Andjul njoo utoe maoni yako hapa. Kuna mtu anatuchezea huku [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Don't waste your valuable time for it is not there that the scriptures may be fulfilled:... their fear towards Me is taught by commandments of men...Isaiah 29:13
Mkuu, kwa muda mrefu hujaonekana hapa. Kwakweli tuliogopa na kuhuzunika sana kukosekana kwako HABARI za siku mtu wetu
Sema GT BAK. Kwema?13:30