Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunanyanyaswa kweli
Kwangu mimi kama kimsambwanda kipo japo cha kupendezeshea sun dress basi mambo powa kabisa. Na wembamba wa makusudi mara nyingi huashiria afya njema na ni nadra kuandamwa na magonjwa yanayoambatanishwa na unene kama BP, Diabetes, moyo, baadhi ya kansa na mengi mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…