Usiwaamshe watu wa soka. Wakianza mambo yao humu siye tusiopenda soka inakuwa shida [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Racist huyu sijui kama ataimaliza hata hii miaka minne ya mwanzo...
Wapi huko mkuu? Bukoba vijijini au Ngara mjini? Pesa unazo?2020 naombeni kura zenu, nami nakinukisha kwenye jimbo flani hivi.
Unakula nn wewe huyo mwingine anamuiga mbuzi( kula plant)?