Numbisa ni maandishi ya Nani hayaWangapi ughaibuni wanafuatilia Es Setif ya Algeria, washindi wa klabu bingwa za Afrika sasa hivi ? Ni idadi gani ya wapenzi wa soka wanaochangamkia mashati na kutundika bendera za timu hiyo muafaka inayobeba rangi mbili za mistari meusi na meupe?
Lakini tulisikia Mkenya, Suleiman Alphonso Omondi, alivyojinyonga miaka sita iliyopita baada ya Arsenal kutolewa nje ya michuano ya klabu bingwa za Ulaya (Champions League), kwa kudundwa mabao 4-1 na wapinzani wao wa kijadi, Manchester United.
Mbona mifano yake ya ulaya tenaKlabu iliyovumbuliwa mwaka 1907 ni rika moja na za Ulaya na Marekani ya Kusini. Real Madrid ilizinduliwa 1902, Manchester United, 1902, Chelsea 1905, Bayern Munich 1900, Santos ya Brazil, 1912.
Al Ahly imeshatajwa kuwa klabu kubwa kuzidi zote za Afrika baada ya kushinda kombe la CAF mara nane toka kimbunga hicho kilipozaliwa 1964.
ndishi wa gazeti la mwananchi,sijakariri jina lakeNumbisa ni maandishi ya Nani haya
Sio yule mkenya
CantstopwontStop
Mbona mifano yake ya ulaya tena
CantstopwontStop