Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Kumbe hii ndo siri ya sauti nyororo....
8ebe08440eb0189af16707280ea70f26.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] ngoja na mimi nivae kwenye dushe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Nyumbani kwake ana vioo vikubwa vitatu vyote vya kujiangalia kabla hajatoka, akiwa na unauhakika na anavyoonekana ndio anatoka. Ukijidai kumuwahi asubuhi ukimgongea kama hajajitayarisha hafungui mlango. Kuna watu walisha mzushia aeti anafuga majini, na majini yake hayataki uchafu, si unajua wabongo umbeya uko kwenye damu. Basi mshikaji huyu
 
jina simtaji hapa maana siku hizi ukimtaja mtu jina, mabingwa wa umbeya wanamfuata mtu kwenye instagramu, wataanza kumpaka humo utadhani walikuwa nae jana kumbe hata sura wanaijulia kwenye gazeti. Unajua siku hizi umbea umegeuka dili, kuna watu wanapata umaarufu siku hizi kwa mtaji wa kuwapaka watu kwenye instagramu. Basi hapa hampati mtaji huo.
 
Sasa mshikaji wangu huyo tatizo lake ni staili yake ya kuota. Jamaa akipata usingizi akianza kuota tu basi huanza kufanya shughuli anazoota mubashara kabisa. Yaani akiota yuko dansini basi ataamka atashika gitaa lake na kuanza kupiga, ukimkuta utadhani yuko macho kumbe mwenzio yuko usingizini anaota hivyo. Sio mara moja anatoka chumbani kwake na kwenda mpaka mtaa wa pili na kurudi kuendelea kulala, asubuhi ndipo huwa anaamka anajikuta na matope miguuni, kutokana na kukanyaga madimbwi
 
kwenye safari zake. Juzi juzi sasa katoa kali, mshikaji aliota kakaribishwa kwenye pati ikulu. Alivyonihadithia mwenyewe alisema alikaribishwa mlangoni na mheshimiwa Rais mwenyewe, kufika ndani akakutana Mawaziri wakasalimiana sana, akaomba sigara wakampa akavuta kisha wakaenda kula. Msosi ulikuwa wa nguvu sana, kila alichotaka alikula, mwenyewe anasema Rais alikuwa anamhamasisha ale vizuri,
 
basi hatimae akashiba akaomba kuondoka. Kabla hajaondoka akajisikia anahitaji kujisaidia ndipo akaonyeshwa mahala pa kujisaidia, akaingia na kushusha mzigo vizuri tu. Aliposhtuka akajikuta yuko chumbani kwake kitandani, lakini chumba kinanuka harufu mbaya sana, halafu nusu ya mto mmoja aliokuwa amelalaia umetafunwa, akili ikamrudia akakumbuka ndoto aliyoota, ikawa kazi moja tu kuanza kufua mashuka na kupiga pafyumu chumba harufu ipungue, alipomaliza akaenda hospitali kumueleza dokta mkasa wake wa kutafuta mto wa sponji.
 
HUWA SIINGILII MAMBO YA FAMILIA ZA WATU

Waalimu wa hesabu enzi za shule ya msingi walikuwa na maswali mengine ya ajabu ajabu, hebu fikiria swali kama hili unalikuta kwenye mtihani;
John ana miaka 10 pungufu ya baba yake. Mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa
a) John
b) Baba
c) Mama
Swali kama hili nilikuwa naruka. Mimi sio mbeya wa kufwatilia familia za watu wengine.
 
Unataka uwe unaimbia kupitia kwenye dushe? Can't follow your logic sir [emoji23][emoji23][emoji23]
No sir[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niwe napiga soft bao[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
WAKUJA ADAI FEDHA ZAKE ALIZONUNULIA DAWA YA AMAPENZI FEKI

Jana nimepita nacheka kwenye mitaa ya kwetu, watu wengine wakawa wananiangalia kwa jicho la kujiuliza, najua walikuwa wakidhani nimevuta moshi wa kitu kilichopigwa marufuku, najua wengine watakuwa walikuwa wananionea huruma wakijua kuwa akili yangu imepata msukosuko kidogo. Mi sikujali niliendelea kujipa raha
 
Back
Top Bottom