Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Konda huyooo...
Cole WilliamsAndjul
CantstopwontStop
Poa mkuuTunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet tena ya kimataifa. Utani, picha, NAMBA, michezo na maarifa mbali mbali ya kila aina. Kila mmoja na lwake.
At a personal level kwangu mimi nachukulia kila kitu hapa kama utani. So ikitokea nikamkwaza mtu ni afadhali aseme tu na tunasonga mbele. So far sijawahi kufurahia uzi wo wote hapa JF kama uzi huu. Asanteni nyote!!!
HahahahahaHuddersfield town
chama letu la mkopo
Sema bro. Unajiandaa kulala ama?Shimba ya buyenze
CantstopwontStop
Muuza milonge atakuwa mchina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani anauza milonge hapa jukwani. Najua kuna wauzaji wa maparachichi, nyanya, ng'ombe n.k. Milonge ni nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha hakuna namnaAiiiiiii !!! Kwa kweli ni kutafuta milonge tu kwa sababu hakuna namna !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mlonge
Namuwakilisha kwa niaba yake weka post kumb no kesho ataiona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa Tukuyu bado upo?
![]()
Nipo nipo kidogoSema bro. Unajiandaa kulala ama?
Kabisa kwa kweli Mimi mtu wa kwanza naonana naye face to faceNi kweli mkuu.Hakuna uzi wenye watu wenye upendo kama huu.Naamini nimepata ndugu wengi humu,nina uhakika wa usalama wangu kokote nitakako enda. Nikisema naenda koromije ya majuu-shimba,koromije orijino-Numbisa,Idodomya-mzee wa ini, mlima mrefu-myoyambendi,A town-Mark Msue,Tanga-mwanafunzi uniq, Shy-nsamaka,Temeke-moudgulf,carba,Masaki-ISIS.
Utasababisha mzee wa Tukuyu atoroke nyumbani usiku huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Milonge haijawahi kumuacha mtu salama baby..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina katoka kutekwa juzi juzi hapa biashara ya milonge kajifunzia wapi? He is still traumatized [emoji23][emoji23][emoji23]Muuza milonge atakuwa mchina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]