Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mwenyekiti high IQ habari yako bossMkifanya hivo itakuwa vema sanaa...... karibuni kwa mchango
Kabisa Mkuu
AMUN RAMaadui zangu na wa kizazi changu na wa nchi yangu Tanzania wamekufa wote milele yote wao pamoja na vizazi vyao vyote milele yote
Kwahiyo hadi sasa hii salamu haijaitikiwa et??Kwanini usingetumia bebi au hani?? Yaani hayo majina mawili huwa yanasababishaga mtaji wa maparachichi ukate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa mkuuKwa sababu ya umoja tulionao naamini tutafanikisha mengi kwa nia ile ile ya kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya wewe kuwa na utaratibu wa kusumbua watoto wadogo wa kike sasa umeamia wa chuo.
Yule mjasiriamali mfugaji?Kwani babe nanii yule ni kidenti?me nilijua yule mzee ndo kidenti[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hebu vitaje kama vitatu hivi halafu tuzungumze[emoji38][emoji38]Nimerudi siku hizi si unanibania vitu vingi bhana[emoji23]
Tanzania kwanza
Nishawaambia tangu nilipokuona una kiasi kikubwa cha karanga mbichi,nazi kavu, mihogo mibichi, pweza na kitu kingine sina uhakika ni majani fulani hivi inawezekana mlonge huo.Ila ilinibidi nimtolee dhamana ila kesi yake bado inaendelea ho chi minh njoo uwaeleze vizuri
AMUN RAAMUN RA
Hii akili si yake kabisa
Kwani nywele zake zimeanza kuota?Huyu mzee alikuwa kifungoni ametoka kwa dhamana tu anapenda dogo dogo sana
Salamu hiyo tu itamfirisi huyo mzee mwenzanguHabari ya asubuhi kipenzi umeamkaje??[emoji23][emoji23][emoji23]hapo je au nianze tena?