Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio kweli,hakuenda huko na pete hakuvalishwa.Ila alinisumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masikini pole sana,mana zile siku mbili ulizopotea alikuja kusema yuko kibiti na alituma salamu kupitia kibiti fm na dedikesheni ya wimbo iende kwa yule bwana mwenye kichwa kibovu dooh![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Na hii ndio inakupa kiburi kwenye kunyapia nyapia
Hewalaa,
Gari langu hili linanibakiza mjini mkuu,
Watu wanafikiri nina pesa nyingi ngoja nikuambie lakini iwe siri yako,
Naongea kwa sauti ya chini,
Muzee ya batoto hali yangu kiuchumi ni....ni...niii
Hakuna mtu hapo jirani yako?
Basi sawa,
Sina pesa kabisa kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…