Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3700.JPG
 
Mwili wa mwanadamu ni moja ya mashine kubwa na ngumu kujifunza inavyofanya kazi, wanadamu tumeumbwa kuwa na hofu au wasiwasi kama sehemu ya kujihami na matukio ya kila siku tunayokutana nayo.
Lakini hofu ina kiwango chake ambapo inapopitiliza inaweza kuwa ni tatizo linalohitaji matibabu na ushauri.
 
Wataalam wa afya ya akili wanaitambua hofu au wasiwasi uliokithiri kama Generalised Anxiety Disorder (GAD). Tatizo hili huwakosesha ajira baadhi ya watu kutokana na kutojiamini katika usaili wa kazi au wanafunzi wanaofanya mitihani.
 
Back
Top Bottom