Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3619.JPG
 
Moyo kwenda kasi isivyo kawaida, maumivu makali kifuani, shingoni, kwenye mabega, kichwani au usoni ni dalili nyingine za kuzingatia. Kuhisi kukosa hewa au kupumua kwa shida na kutokwa jasho.
Kubanwa kifua, kutetemeka iwe ndani kwa ndani au kunakoonekana na watu wengine, kuchafuka tumbo,
 
kuhisi haja ndogo au kubwa mara kwa mara, kutapika, uchovu wa mara kwa mara, kupata usingizi kwa shida au kulala usingizi wa mang’amung’amu.
Sababu
Chanzo halisi cha hofu kupita kiasi hakifahamiki. Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo vimegundulika kuwa vinachangia kuwepo kwa tatizo hili miongoni mwa watu.
 
Vitu au mambo hayo ni pamoja na vinasaba au genetics. Baadhi ya utafiti unaonesha vinasaba vina nafasi kubwa ya kumfanya mtu wa familia yenye matatizo ya kuwa na hofu iliyopitiliza naye kuwa na uwezekano mkubwa wa kuyapata. Hii inamaanisha, hofu iliyopitiliza inaweza kurithiwa miongoni mwa wanafamilia.
 
Kazi ya kemikali hizi ni kupitisha taarifa na ujumbe kutoka Seli moja ya neva mpaka seli nyingine. Iwapo kemikali hizi zitakuwa katika kiwango kisicho sahihi ama kupungua au kuongezeka, taarifa hazitaweza kusafirishwa kama kawaida na kutoufikia ubongo. Hali hii inaweza kusababisha mabadiliko katika utendaji kazi wa ubongo na hatimaye mhusika kupatwa na hofu iliyopitiliza.
 
Mazingira. Inaelezwa, matukio kama vile ajali, kuumia au matukio yenye msongo mkubwa kama vile kunyanyaswa kwa namna yeyote ile, kufiwa na mtu unayempenda, talaka, kufukuzwa kazi huweza kuwa chanzo cha hofu iliyopitiliza.
Wanafunzi wanaobadilisha au kufukuzwa shule wanaweza kuwa na hofu iliyopitiliza. GAD huwa mbaya mhusika anapokuwa na msongo wa mawazo. Aidha, matumizi
 
ya vilevi kama vile pombe, sigara hata kahawa yanaweza kuchangia tatizo hili.
Waliowahi kuwa watumiaji wakubwa wa vitu hivyo kisha wakaacha ghafla, wapo kwenye hatari ya kukumbwa na tatizo hili pia.
Vipimo na uchunguzi
Kabla ya kumfanyia uchunguzi wa mwili mzima kufahamu kama hana tatizo jingine la
 
Back
Top Bottom