Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mwili linaweza kumletea dalili za hofu iliyopitiliza, daktari anapaswa kufahamu historia ya mgonjwa.
Iwapo daktari atabaini mgonjwa alikuwa akisumbuliwa na dalili hizi kwa muda mwingi yaani miezi sita au Zaidi, ni Dhahiri ana GAD. Dalili hizi ni lazima ziingilie na kuathiri maisha ya kila siku.
 
Pamoja na kuwa hakuna kipimo cha kuweza kugundua ugonjwa huu, daktari pia anaweza kuagiza kufanyika kwa vipimo vingine ili kuchunguza iwapo mgonjwa ana tatizo jingine lolote la kiafya.
Matibabu
Iwapo uchunguzi utaonesha mgonjwa hana tatizo jingine lolote mwilini, daktari wa masuala ya afya ya akili atatakiwa kumhudumia. Matibabu yake kwa kawaida hujuisha dawa na tiba ya kujitambua yaani cognitive-behavioral therapy.
 
Hofu iliyopitiliza haina ya moja kwa moja. Hata hivyo kuna baadhi ya mambo ambayo hutumika kupunguza makali yake. Mambo hayo ni pamoja na kuacha au kupunguza matumizi ya baadhi ya vyakula au vinywaji kama vile kahawa, chai, cola au chokleti.
 
Nishafika shemeji. Nafurahi kukukuta. Jana usiku KK na huyu mzee wa Tukuyu walikuwepo wanakuteta teta. Nilitamani machale yakucheze uamke uwachachafye kama unavyowachachafyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe walikuwa wananiteta eeh...ndo mana asubuhi niliwakuta wote humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…