Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124] [emoji124] [emoji124]ametenda maajabu nami siwezi kueleza...[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445]
 
Msongo wa Mawazo
Maambukizi ya saratani ya ngozi au melanoma yameongezeka kwa kasi ndani ya miongo minne iliyopita. Ni miongoni mwa saratani zinazowashambulia zaidi wanaume. Kabla ya miaka 50, wanawake wengi hupata maambukizi ya saratani hii lakini baada ya miaka 65 hali huwa kinyume chake, wanaume hupata maambukizi haya zaidi kuliko wanawake. Baada ya miaka 80, wanaume hupata maambukizi mara tatu kuliko wanawake.
 
Pole shemeji mana nimeona watu wanaimba gospo tu humu na wanatangaza kuokoka kabisa tena na madedikesheni juu,pole sana ila pambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kunitia moyo shemeji. Madedikesheni yale hata mimi yaliniacha hoi hasa ukizingatia kwamba mi sijawahi pata dedication hata moja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…