Huko ndiyo kwangu Mkuu pamoja na kuwa sitaki kabisa kuwa mwanasiasa. Ni katika kupinga ufisadi na maovu mengi yanayoendelea nchini mwetu. Nchi yetu ingekuwa haina ufisadi na maovu mengine na inafanya vizuri kwenye kila sekta na pia kutumia vizuri rasilimali zetu kule wala nisingezuka kabisa.

Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa na ninavyokurupuka kitandani asubuhi na ninavyojitupa kitanda usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hey my dear BAKHuko ndiyo kwangu Mkuu pamoja na kuwa sitaki kabisa kuwa mwanasiasa. Ni katika kupinga ufisadi na maovu mengi yanayoendelea nchini mwetu. Nchi yetu ingekuwa haina ufisadi na maovu mengine na inafanya vizuri kwenye kila sekta na pia kutumia vizuri rasilimali zetu kule wala nisingezuka kabisa.