ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Natumai mimi na Uniq hatuwezi kukaa viti jirani,Mimi nitakuja kama mlinda amani, in case Mpare na Mchina wakiamua kuzichapa kavu kavu....
Hahahaha.....sa iv wamesuluhisha naona...Mimi nitakuja kama mlinda amani, in case Mpare na Mchina wakiamua kuzichapa kavu kavu....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] hapo sasa.....naiona kesho yangu iliyo njema,mwenzenu naionaaa..kesho ya heshimaa[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443]Atakuwa Babe S wa kichina
Safi sana comrade nipooo.....majukumu tuu comrade wangu.Hope all is well with you.Mkuu, kwema? Za siku?
Hahah ngoja aje na Andjul tule hela zake na yeyeMimi nitakuja kama mlinda amani, in case Mpare na Mchina wakiamua kuzichapa kavu kavu....
Mkoromije unazurura sana mkuu...
HahahahhahaahahahahWeeeee weeee weeeee!!!!! 1.Bob12, 2.Bob12, 3.Bob12, 3.ho chi..., 4.kichwa...,5.mzee....
Mbio za mapema..Pheeeeewwww pheeeewwwwww another 3 points
Glory Glory Manchester united
GGMUMan u 2 kwa 0
Wenger mwanaume wa shokaHahaaaaa unataka kuitaja Arsenal nini??? Na kesho watalia tena
Hakuna hawa. Hawatakaa waelewane kamwe. Ningekuwa tapeli hata Mchina ningemkamua ng'ombe lakini ameshateseka vya kutosha...Hahahaha.....sa iv wamesuluhisha naona...
Majukumu Babe S,Za siku nying sana!? Hahahaha.....kila kitu kimeenda wapi??[emoji12][emoji12] za kwangu nzuri tu! Tulimiss uwepo wako hapa!
Mbio za mapema..