Wanyamapori wa Liwale maana yake umeingia Selous game reserve. Unaonaje mandhari ya Liwale na pori kwa ujumla?Nipo Liwale/Msumbiji ya Tz,sikuwahi tegemea nitafika huku,kukutana na wanyama pori ni kama kukutana na likes za humu
Amazing aiseeWanyamapori wa Liwale maana yake umeingia Selous game reserve. Unaonaje mandhari ya Liwale na pori kwa ujumla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima uburudike maana pori lina wanyama si habaAmazing aisee
huku nilikuja kikazi sema jmosi nikaingia selous,raha sana
Ndiyo hivyo aisee