Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nawe pia yaonyesha ni mwenyeji eneo hili. Cameo imevunjwa, Tajiri aitwaye Baghdad ameweka jengo, Odeon ndipo ilipo DTV/Chanel ten, New chox kuna duka la Mohammed enterprise, Avalon duka la Tunakopesha ltd
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu ushabikie Liverpool chama la wajanja, timu namba moja duniani yenye mashabiki wenye uwezo wa kushangilia bila kuchoka, bila kujali wamefungwa au wameshinda, dakika zote 90,na 30'za nyongeza.Yap,chama la wana
Bendi ya makassy itakuwa wapi wapi Chang'ombe siku ya ijumaa!Wapi wapi, chang'ombe, miembeni bar ilala, kigongo bar buguruni, wami bar mwananyamala, mundo bar temeke, ccm kata 14 temeke, super fanaka buguruni............
Sent using Jamii Forums mobile app