Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro siamini kabisa sio kweli

CantstopwontStop
 
Umri mkubwa huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Generation hii kuwa shamba wala si ajabu. Na ukimkataza mnagombana. Hata ukijaribu kumleta mjini eti apumzike hamtaelewana. Pengine ndiyo maana wameweza kuishi miaka mingi hivi. Sisi na kizazi hiki cha mabroiler aka dot. com sidhani kama tutafikisha umri huu, na hata kama tukifikisha basi tutakuwa nyang'anyang'a....
 
Wauza chakula maarudu mama/baba ntilie zingatieni usafi kila muandaapo chakula kwa ajili ya wateja wenu kwani ni binadamu kama nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine ni wachafu wa kuzaliwa, so hawajui tofauti ya uchafu na usafi. wanafanya biashara kwakuwa wana dhiki ya kimaisha tu. Na pia utasema upasuke hawaamini utakula au utaacha chakula chao kwa usafi uliopo. wanaamini ujio wako ni kwakuwa ulivutwa hapo na ndumba wanazoamini. Pumbavu zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…