Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waaow hongera sana,maana isingekua password jamaa angeiuza
Yeah. Kuna hii app ya lookout pia inasaidia. Ukipoteza simu unalogin kwenye kompyuta na inakuuliza kama unataka kui-lock au kui-reset kabisa hiyo simu iwe kama mpya ndo inatoka kiwandani. Wana encryption nzuri na ukishareset mtu wa kuweza kufukua na kupata vitu ulivyofuta inabidi awe hacker mzuri sana. Ndiyo nilitumia na nilikuwa na ile ya kulipia. Halafu uzuri mtu akijaribu kulog in kwenye simu yako akakosea mara tatu basi inampiga picha na kukutumia pamoja na location yake.
 
Bambi, Bambi
My dear, my dear, my dear
My dear I want you here
Don't get too near for there's lions beware......[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Babu nikikumbuka enzi zile za akina Ray Parlour, Galas,Thony Adam, David Seaman, Pires, na ile midfield kali kabisa, nabaki kumumpa heshima zake mzee wenga
Kwanza 1996
kikosi cha kwanza lazima david seaman umkute golini,mabeki lee dixon,tony adams(kiranja),Steve bould(mwili kabati) na Nigel winterburn
viungo unakutana na Ray Porlour(mapafu ya mbwa),Rame Garde,Patrick Vieirra,Denis Berkamp
fowadi Anelka(mapung'o) na Ian Wright,hapo mzee wenga ndo anatambulishwa epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…