myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahahah
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba bhana
CONSPIRACY[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Ni kweli. Ukishavuka hapo uko salama. Wakati wa kurudi ndo kimbembe sasa. Kama huna heat shields za kueleweka, utakaangwa laivu...Columbia shuttle...pia huo ndio ukuta wa gereze(dunia), huwezi kuvuka hapo hivihivi'
AMUN RA15:01
Mojawapo ya gari bomba kabisa mjepu kutengeneza kwa rough road za afrika hii gari ni mfalme wa njiaMfalme wa barabara za Afrika. Ninayo ya mwaka 1996 nimeigeuza pikapu imezeeka balaa lakini inakata mitaa ya Usukumani vizuri tu. Ukiipeleka kwa fundi anakwambia injini bado nzima kabisa wewe fanya oil change tu. Basi unajaza matenga ya nyanya unavyotaka na samaki na inakupeleka unakotaka kwenda bila wasiwasi. Kwa hii, hasa zile za mwanzo mwanzo, Mjapan alicheza Pele kwa kweli !!!
HahahahaAisee namkumbuka huyu jamaa aliwika sana
Hila furusa Tanzania zipo nyingi
Kama babu wa loliondo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni kweli,,japo mimi gari za japani nakua nazo shingo upandeMojawapo ya gari bomba kabisa mjepu kutengeneza kwa rough road za afrika hii gari ni mfalme wa njia
hahaaaaaπππππππππ mi pia nakuelewa sana bwossMwenyekiti wewe Kiboko lakini sio mamba
HahahahahaLooks like Godess ISIS to me....
Sir yes Sir
Kwa kauli kama hii, uko wapi uislam wa kweli ulionao?Ivi wewe mkund***u nini?
Unafikiria kila Mmoja anakubaliana na uhalo wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja aje. Moto utakaoniwakia sipati picha. Au ataishia kucheka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]