Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana wanaongoza kwa kuwa na furaha duniani. Mfungwa anaishi vizuri gerezani kuliko mfanyakazi wa Bongo.

Rushwa wamekaribia kuikomesha kabisa sema tu kodi zao ndo kiboko.
Kodi ndiyo inayowapa furaha, maana inafanya mambo yote. Acha walipe tu maana inawafikia wahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa ndio maana wengine tumejiajiri madame
Unasoma kwa shida sana hapo Tisa
Kumi ajira yenyewe ndio kizungumkuti
 
Hahahahaha
 
Yap shimba mitandao ya kijamii ni mizuri ukitumia furusa sahihi
Lakini huu utandawazi ni shida kidogo
Hata magaidi wanatumia kufundisha mambo yao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…