Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Huyo ni tatizo mbona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kashatokea[emoji23][emoji23][emoji23]huyu andaeitini sijui anasoma saangap kwakweli
Nilikumisimo eeh[emoji4][emoji4]
Nimerudi na zawadi zako we msela.Angalia misele isijekukupiga wewe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uje na savanna[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]uk nini??[emoji125] [emoji125] [emoji125] mzee wa liver na Yegomasika wanajua ni wapi
Teh teh teh jina tu linadhihilisha mimi kutoka polini gani[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri tumuulize kwanza eti Kichwa Kichafu we unaishi wapi
Haya leta zawadi hizo msela wangu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimerudi na zawadi zako we msela.
Anataka kushindana na Alipotokea Mara ooooh kafia na Tai shingoniHatujui hata kama kazi aliianza. Wakati mwingine mchecheto tu. Umefakamia milonge kwa lengo la kutoa shoo ya kibabe, bado unapanga dhana za mashambulizi kimoyo kinaamua kuzimika.
Bila shaka unayajua vizuri mambo haya. Madenti tu hapa walikuwa wanapukutika balaa wakichanganya Redbull na bia moja inaitwa Four Loko (ina caffeine ya kutosha na abv 8%). Mpaka wamewaamru watengenezaji waondoe hiyo caffeine na Redbull ziwekewe warnings hasa kwa watu wenye ishu za mioyo, BP n.k... Imagine mtu umegonga milonge (or whatever makes you dance longer), jibapa na mchecheto juu, halafu kumbe una katatizo ka moyo ambako hukajui, au BP, mbona usisalimu amri? I say shameful death !
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mzee wa liver na Yegomasika wanajua ni wapi
[emoji12][emoji12][emoji12]Yesss! [emoji123]
Hebu jibu swali basi,et unaishi wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh jina tu linadhihilisha mimi kutoka polini gani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh ukitaka vitu vyako viwe salama yule mwizi wako mpe ulinzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kichafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bob kasema amekufa kishujaaAnataka kushindana na Alipotokea Mara ooooh kafia na Tai shingoni
CantstopwontStop