Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku hata angelewa vipi,akili ikimrudi kidogo tu anatafuta nguo yake ya ndani halafu huyooo kwao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe eeh
Ni hatari sana shemeji. Yaani mtu inabidi uulize mara mbili mbili. Kesho yake akikugeuka umekwisha. Hata hawa wanamichezo (Kobe etc) ndicho kinachowatokea. Binti anakubali halafu kesho anadai alikuwa kalewa na hakumbuki kama alitoa consent. Basi hapo hakuna ujanja isipokuwa kumalizana nje ya mahakama. Kobe wanasema alipigwa $ milioni sita !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…