Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi inaelekea wajanja walitumia sana hii kama fursa
 
Mwenye kiti na katibu wake(mzee wa koromije na bilionea wa tukuyu sasa hapa sijui nani mwenyekiti na nani katibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Kuna andaeitini na baba viv
Wengine hawajajitokeza hadharani bado
Nimeshawatia kwenye notibuku yangu. Mzee wa Tukuyu nitampa uenyekiti kwa sababu inaonekana kabobea sana. Mimi acha nichukue ukatibu unanitosha. Akiritaya naubeba uenyekiti bila kusita !!!
 
Basi inaelekea wajanja walitumia sana hii kama fursa
Famous people na wenye vihela hela inabidi wawe makini sana. Kibaya hata baadaye ikija kubainika kuwa binti alikuwa anadanganya basi wewe maisha yako yameshakuwa ruined na rekodi tayari unayo. Hakuna university au employer atakayekugusa tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…